Mzuka! Shabiki Amvamia Harmonize Jukwaani – Video

Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize amefanya shoo ya kibabe katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, mashabiki walionekana kupandisha mizuka na baadhi yao kuvamia jukwaani kwa lengo la kucheza pamoja na msanii huyo.


Loading...

Toa comment