The House of Favourite Newspapers

Nedy Music Anakukaribisha Kuitazama ‘Zungusha’ Video Mpya

 

Msanii wa Bongo Fleva, Nedy Music anakukaribisha kuitazama video ya wimbo wake mpya, ‘Zungusha’.

 

Video imetengenezwa South Africa ikiongozwa na Hanscana, kwa upande wa audio imetengenezwa na Aloneym.

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

 

Comments are closed.