
Mwaka 2025 umeendelea kuonesha kwa nini Afrika Kusini ni moja ya nguzo kubwa za muziki barani Afrika. Kuanzia vilabu vya usiku, redioni hadi kwenye mitandao ya kijamii kama TikTok, muziki wa SA umejaa ubunifu, midundo mipya na collabo zinazovuka mipaka.
Licha ya aina nyingi za muziki kuwepo, Amapiano bado inaongoza lakini imekuja kwa sura mpya inachanganywa na afro-soul, hip-hop na hata pop, jambo linalofanya ngoma nyingi kuwa za kisasa na kuvutia mashabiki wa rika tofauti.
1️⃣ Isaka (6am) – CIZA, Jazzworx & Thuthukile – mojawapo ya nyimbo bora za mwaka na curve ya stream kubwa.
2️⃣ Abantwana Bakho – DJ Maphorisa, Thatohatsi, Young Stunna & Nkosazana Daughter – hit kali ya Amapiano.
3️⃣ Bengicela – MaWhoo, GL_Ceejay & Thuthukile ft. Jazzworx
4️⃣ Uzizwa Kanjani / Uziwa Kanjan – Jazzworx, MaWhoo, Thuthukile & GL_Ceejay
5️⃣ Ngishutheni – Goon Flavour, Master KG & Eemoh.
6️⃣ Mali – Dlala Thukzin, Zee Nxumalo & Sykes
7️⃣ Soos ’n Engel – Len Muller.
8️⃣ Uyena (Live) – Sjava – afro-soul & hip-hop fusion inayopendwa sana.
9️⃣ Magumba – Khadeair ft. Kaytah & Peekay Mzee .
🔟 My Darling – Chella.

