×

Willy Paul, Diana Wafikishana Pabaya

MAHAKAMA nchini Kenya imemuagiza mtayarishaji wa maudhui ya Televisheni na mwimbaji kutoka nchini Kenya Diana Marua kufuta video yake aliyoiweka...

READ MORE

Akamatwa Akisafirisha Bangi

POLISI katika kaunti ya Busia huko nchini Kenya wamemkamata mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 40 akisafirisha misokoto ya bangi...

READ MORE

Askofu Bendera Ajilipua Sakata la Deni la Taifa, “Tujilinde na Kuligawa Taifa”

ASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo, Paul Bendera ametoa ushauri wake kuhusu suala la deni la taifa ambalo limekuwa gumzo...

READ MORE

Yaliyojiri Mahakamani Kesi ya Sabaya

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha leo Jumatano Desemba 29, 2021 imeshindwa kutoa uamuzi mdogo katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa...

READ MORE

Kumbilamoto Afunguka Kuachana na Dida

June 10, mwaka huu, mtangazaji maarufu nchini wa kipindi cha mashamsham cha Wasafi Fm, Didah Shaibu pamoja na Diwani wa...

READ MORE

Arusha: Mwanamke Mwingine Akutwa Amekufa

MWANAMKE mwingine mkazi wa Njiro jijini Arusha, Janerose Dewasi (66) amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake baada ya kupigwa na kitu...

READ MORE

Makaburi Mengine 150 Yagundulika Vingunguti

HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam imeongeza siku tatu kuendelea kuhamisha baadhi ya makaburi ya Vingunguti baada ya kubainika...

READ MORE

Wanaopandisha nauli Kukiona

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini imesema inaendelea na ukaguzi wa mabasi...

READ MORE

Morrison Anaitaka Azam FC

UNAAMBIWA pamoja na Kiungo Mshambuliaji wa Simba raia wa Ghana, Bernard Morrison kukosekana kwa muda ndani ya timu hiyo akiwa...

READ MORE

Ibrahim Ajib Asajiliwa Azam FC, Atangazwa Rasmi

KIUNGO wa mpira Ibrahim Ajib baada ya kusitisha mkataba wake na mabosi wake wa zamani Simba ametambulishwa ndani ya kikosi...

READ MORE

SportPesa Waiongezea Mkataba Namungo FC

KAMPUNI ya michezo na Burudani ya SportPesa Tanzania, imeongeza mkataba wa mwaka mmoja wa udhamini timu ya Namungo ya Ruangwa,...

READ MORE

Simba Yasitisha Mkataba wa Ibrahim Ajibu – Video

  UONGOZI wa Klabu ya Simba umethibitisha kusitisha mkataba wa kiungo fundi Ibrahim Ajibu. Taarifa rasmi ambayo imetolewa na Simba...

READ MORE

🔴#Live: Ukweli Ndoa Ya Dida Kuvunjika, Harmo, Mond, Hapatoshi | Hot Pot…

Karibu kutazama kipindi namba moja cha Udaku ‘HOTPOT’ kinachokuletea habari mbalimbali za mastaa ndani na nje ya Tanzania.   

READ MORE

Mapigano ya Wakulima, Wafungaji Malinyi Yachafua Hali ya Hewa

JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro, limesema wafugaji ambao walikimbia makazi yao kutokana na mapigano yaliyoibuka kati yao na wakulima...

READ MORE

Chama Kufuata Nyayo za Okwi

HABARI za kurejea nchini kwa kiungo fundi raia wa Zambia, Clatous Chama ‘Mwamba wa Lusaka’ zimepamba moto kipindi hiki cha...

READ MORE

Juhudi Zinaendelea Kuokoa Waliofukiwa na Kifusi Mgodini

Vikosi vya uokoaji nchini Sudan vinaendelea na jitihada za kuinasua miili ya wachimbaji wa madini waliofukiwa katika mgodi wa dhahabu...

READ MORE

Askofu Mwanisongole Kuzikwa Leo Songwe

Askofu Mkuu Mstaafu wa Tanzania Assemblies of God (TAG) Dk. Ranwell Mwanisongole aliyefariki dunia usiku wa kuamkia Jumamosi, Desemba 25,...

READ MORE

Video: Sakata La Babu Wa Tiktok Na Twanga Lafika Pabaya| Katambuga

 Karibu kutazama kipindi cha KATAMBUGA kinachoruka hewani kila siku jumatatu hadi ijumaa kuanzia sa 4:30 asubuhi hadi sa sita...

READ MORE

Sakata la Deni la Taifa “Tukope Tusikope”?

MGONGANO wa mawazo kuhusu nchi kukopa au kutokukopa uliojitokeza kati ya Spika wa Bunge, Job Ndugai na Rais Samia Suluhu...

READ MORE

GSM Yawafanyia Kufuru Mastaa Yanga

WADHAMINI wa Yanga ambao ni GSM, wamewafanyia kufuru mastaa wa timu hiyo kwa kuwapatia vocha yenye thamani ya Sh milioni...

READ MORE