PETIT MAN : NIKIOA, NISIOE KUNA MTU ANATESEKA?

Meneja wa wasanii mbalimbali Bongo, Hamadi Manungwi ‘ Petit Man’ amefunguka kuwashangaa watu wanaomsakama kwenye mitandao ya kijamii kuwa amefunga ndoa Akizungumza na Ijumaa, Petit Man aliyewahi kuwa na uhusiano na dada wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alisema, hata kama  ameoa ni kwamba yeye ni mwanaume na hana mke kwa nini kama ameoa watu wamjadili sana mitandaoni.

“Hata kama ndio nimeoa kwani kuna mtu anateseka? Na ni juu ya nini ndoa nifunge mimi aumie mwingine inakuja kweli jamani?” Alisema Petit Man.


Loading...

Toa comment