The House of Favourite Newspapers

Pretty Kind Aachia Video Mpya ya ‘Mungu Baba’ – Video

0
Mwimbaji wa Gospel na muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Suzan Michael maarufu kama Pretty Kind.

Mwimbaji wa Gospel na muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Suzan Michael maarufu kama Pretty Kind amesema anawakaribisha mashabiki wake wote kusikiliza wimbo wake mpya wa Gospo unaokwenda kwa jina la Mungu Baba.
Pretty Kind amesema; “Bwana Yesu asifiwe, ninaitwa Pretty Kind, mpendwa ninakukaribisha kutazama wimbo wangu mpya wa #MUNGU BABA.
“Ninakuomba pia sambaza kwa wengine wimbo huu ufanyike kuwa baraka kwao kwa jina la Yesu.
Usisahau ku-Share, ku-Like, ku-Comment na ku-Subscribe chaneli yangu.
Mungu Akubariki Sana!”

Leave A Reply