The House of Favourite Newspapers

Rais Dkt. Samia Azungumza Na Wananchi Wa Pasiansi Mkoani Mwanza – Video

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia na kuzungumza na wananchi wa Pasiansi, Ilemela mara baada ya kuwasili Mkoani Mwanza tarehe 12 Oktoba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu akizungumza na Wananchi wa Pasiansi Mkoani Mwanza, leo tarehe 12 Oktoba, 2024.

Wananchi wa Pasiansi Ilemela Mkoani Mwanza Waliojitokeza kumsalimia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili Mkoani Mwanza tarehe 12 Oktoba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza tarehe 12 Oktoba, 2024.

Leave A Reply