The House of Favourite Newspapers

JPM Amteua Mwakyembe, Dkt. Shein

0

RAIS John Magufuli amemteua Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe akichukua nafasi ya Jaji Mstaafu Barnabas Samatta ambaye amemaliza muda wake.

 

Aidha  amemteua Dkt. Harrison Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) akichukua nafasi ya Mariam Joy Mwaffisi ambaye amemaliza muda wake.

Leave A Reply