×

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Dar – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Juni 22, 2025 ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam.

Rais Samia akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi.