The House of Favourite Newspapers

MBOWE Aniombe Msamaha Ndani ya Siku 7, La Sivyo… – Video

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt Athuman Kihamia, amemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, kujitokeza hadharani na kumuomba radhi ndani ya siku saba kutokana na tuhuma za kumchafua alizomtuhumu bila ya kuzithibitisha.

Comments are closed.