The House of Favourite Newspapers

Gobal TV Online: Sasha Awahimiza Mashabiki Kutazama Mapambano ya Ngumi Leo

1
Mrembo wa Miss Lake Zone na Miss Mara, 2014 Sasha Kassim. 

Mrembo wa Miss Lake Zone na Miss Mara, 2014  Sasha Kassim amewahamasisha wadau wanaotumia mitandao kusubscribe Global TV Online ili  kutazama mpambano wa ngumi wa Global TV – Ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati   yatakayofanyika leo katika Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam. 

Global TV ilifanya mahojiano na Sasha Kassim katika hoteli ya Future iliyoko Tangi-Bovu Dar es Salaam, mrembo huyo aliwahimiza watumiaji  wa mitandao wanaotumia simu, kompyuta, tablet na kadhalika ku-subscribe Global TV Online akisema na yeye atakuwepo Dar Live.

Mapambano hayo yatakuwa mubashara kuanzia saa 2:00 usiku na kuendelea kupitia Global TV.

Ku-subscribe kutakuwezesha kuangalia mapambano hayo yaliyoandaliwa na TV hiyo  ya Online.

Subscribe hapa  www.youtube.com/user/uwazi1

MKimataifa itaoneshwa Mubashara na Global TVOnline

1 Comment
  1. […] Mayweather na McGregor wameonekana mara kadhaa katika maeneo tofauti wakibishana na kutaniana huku mashabiki wao wakishangilia kwa nguvu. Ni mbinu hii ndiyo inayolifanya lisubiriwe kwa hamu na mamilioni ya […]

Leave A Reply