The House of Favourite Newspapers

Shinda Chemsha Bongo na Global Publishers

nyumba-3Tumeshuhudia mashindano mengi yakiendeshwa sehemu mbalimbali, watu wakishinda wanakabidhiwa gari, pesa, medali, mataji na vitu kibao vya thamani japokuwa baadhi yao wanakuja kuishi maisha ambayo ni tofauti kabisa na ushindi huo walioupata ikiwa ni pamoja kutumia pesa zao vibaya.

Hata wale wanaofanikiwa kutusua na kujenga mijengo inakuwa ni juhudi zao binafsi mbali kabisa na ushindi walioupata.

SWALI: Endapo ukifanikiwa kushinda nyumba ya Msimu ya wa Pili wa Shinda Nyumba ya Global Publishers, utafanya nini?

Kuwa huru, comment kwa kuweka mawazo yako kadiri ya uwezo wako wa kufikiri.

KUMBUKA: Mshindi atakayepewa kipaumbele ni yule atakaye-comment kupitia tovuti yetu ya www.globalpublishers.co.tz

 

Comments are closed.