The House of Favourite Newspapers

Simba Sc Yachezea Kichapo cha Mbao

TIMU ya Simba Sc imeshindwa kufurukuta mbele ya wachana mbao wa Jiji la Mwanza, Mbao FC baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0.

Mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara umepigwa kwenye dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza leo Alhamisi, Septemba 20, 2018.

Goli la Mbao FC limefingwa na Said Hamis dakika ya 26 kwa mkwaju wa penati baada ya kipa wa Simba, Aishi Manula kufanya madhambi ndani ya penalt box.

Comments are closed.