The House of Favourite Newspapers

BREAKING: Simba Wamsajili Sharaf Eldin Shaiboub wa Al Hilal ya Sudan

MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Simba SC, wamemsajili kiungo Sharaf Eldin Shaiboub Ali Abdelrahman kutoka klabu ya Al Hilal ya Sudan.

Shaiboub ni mchezaji wa timu ya taifa ya Sudan na amekuwa kiungo bora mara mbili mfululizo kwenye Ligi Kuu ya Sudan.

Comments are closed.