The House of Favourite Newspapers

Swala Ya Eid El Adha Kitaifa Kufanyika katika Msikiti wa Mfalme Mohamed wa Sita Dar

0
Mufti wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Bin Ali.

Baraza la Kuu la Waislamu Tanzania Bakwata limesema sikukuu ya Eid El Adha Kitaifa itaswaliwa katika Msikiti Mkuu wa Mfalme Mohamed wa Sita uliopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam.

Akizungumza Mufti wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir Bin Ali amesema Waziri Mkuu wa Tanzania atashiriki swala hiyo ya Eid akimwakilisha Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan.

Mufti Zubeir Bin Ali amefafanua swala hiyo itafuatiwa na Baraza la Eid hivyo waumini watakaohudhuria msikitini hapo watashiriki katika Baraza hilo inshaallah.

Leave A Reply