AIKA AFUNGUKA KUZAA NJE YA NDOA, DILI ZA MWANAYE!
SI wageni machoni kwako, masikioni mwako na pengine unawapenda. Wana ‘hit song’ nyingi, zikiwemo Lini, Kamatia, Feel Good na wimbo wao mpya uitwao Fella, unakimbiza mbaya. Kwa upande wa albamu wamefanya mbili, ambazo ni AIM (Above Inna…
