Barua ya Einstein kuhusu Mungu yauzwa mnadani, aliamini Mungu yupo?
Barua iliyoandikwa kwa hati ya mkono na Albert Einstein, ambapo anajadili suala la dini na imani, imeuzwa kwenye mnada kwa bei ya karibu $2.9m (£2.3m) ambayo ni sawa na Sh. bil. 7.
Barua hiyo ambayo kwa utani imekuwa…
