Barcelona Yafuta Uteja Wa Miaka 9 Kwa Bayern Munich
Mei 7 2015, ilikuwa mara ya mwisho Kwa Klabu ya Barcelona kuifunga Bayern Munich 'The Bavarians' mabao mawili ya Lionel Messi pamoja na Neymar Junior yalitosha kuwaangamiza Bayern, imepita miaka 9 na miezi mtano tangu siku hiyo timu…
