Ben Pol: Napenda Mwanamke Mwenye Tabia Nzuri
MSANII wa muziki nchini Ben Pol amesema kitu pekee anachokiangalia kwa mwanamke ambaye ataweza kumzimikia na kuwa naye kimapenzi ni lazima awe anajiamini pindi wakiwa wanaongea au hata wakiwa wanachati.
Ben Pol amefunguka…
