CALISAH: SIYO SKUNA TU, UKINILIPA DAU HILI HATA GAUNI NAVAA!
MWANAMITINDO maarufu Bongo, Calisah, ambaye hivi karibuni ameshangaza ulimwengu kwa kupiga picha akiwa amevaa viatu vya kike, amefunguka kuwa yeye ni mfanyabiashara kwa hiyo yuko tayari hata kupiga picha na gauni endapo atalipwa dau la…
