VIDEO: Manchester United Walivyoichapa Celta Vigo 0-1 (Europa)
Klabu ya soka ya Manchester United usiku wa kuamkia leo imechomoza na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Celta Vigo katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya Euefa Europa Ligi.
Goli pekee la Man U limewekwa kimiani na mshambuliaji…
