Mrembo ababuka uso afariki dunia, chanzo ni samaki
Agnes Haule akiwa amebabuka usoni baada ya kula samaki.
Stori: Issa Mnally, UWAZI
DAR ES SALAAM: Inasikitisha sana! Mrembo aliyejulikana kwa jina la Agnes Haule (29) amefariki dunia kwa madai ya kula nyama ya samaki ikisemekana alikuwa na…
