Sheikh Hemed Jalala akiongea na waandhishi wa habari (hawapo pichani). Sheikh Hemed Jalala akisisitiza jambo. Waandishi wa habari wakichukua matukio....