Cloud afunga ndoa tena Ulaya kwa siri
Nyota wa sinema za Bongo, Issa Mussa ‘Cloud’ akiingia ukumbini na mkewe.
Stori:Hamida Hassan na Imelda Mtema
NYOTA wa sinema za Bongo, Issa Mussa ‘Cloud’ amefunga ndoa tena, lakini safari hii ni kwa siri huko nchini Sweden na mwanamke…
