Ajali ya Ndege Yaua Watu 9 Marekani
WATU tisa wakiwemo watoto wawili wamefariki katika ajali ya ndege ndogo iliyotokea katika jimbo la Dakota ya kusini nchini Marekani.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari vya Marekani, ndege moja ndogo…
