Nyumba inamodaiwa kufichwa Mohamed Dewji mara baada ya kutekwa Okotoba 11, 2018 katika Hoteli ya Colosseum imegundulika na imeoneshwa leo...