Droo ya Pili ya Airtel Mkwanjika Promosheni
Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando (wa pili kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuendesha droo ya pili ya promosheni ya Airtel Mkawnjika ambapo washindi 28 kutoka katika mikoa mbalimbali…
