Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi Afanya Uteuzi wa Viongozi Nafasi Mbalimbali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Hussein Mwinyi, Juni 24, 2022 amefanya uteuzi wa viongozi katika nafasi mbalimbali uongozi.
Rais Mwinyi amemteua Mhe. Khamis Ramadhan Abdalla kuwa Jaji Mkuu wa…
