Zaidi Ya Washiriki 3,000 Washiriki Uzinduzi Wa Kampeni Ya Tuwaambie Kabla Hawajaharibiwa Arusha
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limezindua kampeni ya tuwaambie kabla hawajaharibiwa kwa lengo la kuongea na wanafunzi kuanzia elimu ya awali hadi vyuo vikuu kwa ajili ya kuwaelimisha juu ya kujitambua ili kujiepusha na vitendo vya…
