Hivi Anayewauzia Wadada Simu Mbovu ni Nani?
Na MC PILPILI| GAZETI LA AMANI| KIJIWE CHA MC PILIPILI
UNAJUA nimekaa na kujiuliza maswali mengi sana kuhusu hawa dada zetu na hizi simu za mkononi. Nimejiuliza weee lakini wapi, sijapata jibu hata moja, hebu naomba na wewe…
