Mussa Kitale: Sisi Sote ni Ndugu…
MSANII wa vichekesho nchini, Mussa Yusuph Mahenge ‘Kitale’, amesema kuwa Waislamu na Wakristo wote ni ndugu.
Akizungumza na waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima lilipo Dar es Salaam, Kitale amesema kuwa…
