Jinsi ya Kupika Kitoweo cha Kuku
KITOWEO cha kuku kinapendwa na watu wengi, leo nitaelezea mapishi tofauti ya kitoweo hicho.
MAHITAJI
Kuku mmoja wa 1
Vitunguu maji 3
NYANYA 5
Mchanganyiko wa kitunguu swaumu na tangawizi kijiko 1 cha mezani…
