VIDEO: Komediani Katarina wa Karatu Asema Mzee Ndesamburo Alimshawishi Kuingia Kwenye Siasa
MOSHI: Mchekeshaji mahiri, Katarina wa Karatu, amefungukia kifo cha mzee Ndesamburo, akieleza kwamba ameguswa sanana msiba huo kutokana na jinsi alivyokuwa akiishi na watu na kufunguka kwamba yeye ndiye aliyemshawishi kuingia kwenye siasa.…
