ARUSHA: Watano Wafariki Dunia Baada ya Nyumba Kuangukiwa na Mti
ARUSHA: Watu watano wa familia moja wamefariki dunia baada ya nyumba yao kuangukiwa na mti katika eno la Sokoni Two, Kijiji cha Kinyeresi, wilayani Arumeru, Arusha, usiku wa kuamkia leo.
Tukio hilo limetokana na mvua kubwa…
