×

Tag: liberia

Maafisa Watatu wa Serikali Wasimamishwa Kazi kwa Tuhuma za Rushwa

RAIS wa Liberia na mchezaji wa zamani wa soka George Weah amewasimamisha kazi maafisa watatu kwa kosa la ufisadi.  ...

READ MORE

Liberia Yatangaza Tahadhari Mlipuko wa Ebola

RAIS wa Liberia, George Weah,  ametangaza kuziweka mamlaka za afya za nchi hiyo katika kiwango cha juu cha tahadhari baada...

READ MORE

Rais Weah Atangaza Kufuta Ada Vyuo Vikuu Vyote

RAIS wa Liberia, George Weah, ametangaza Chuo Kikuu cha Liberia na vyuo vikuu vyote vya umma vitatoa mafunzo bure kwa...

READ MORE

Rais Ellen Sirleaf Johnson Ashinda Tuzo ya Mo Ibrahim

RAIS wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf ameshinda tuzo ya mwaka ya Mo Ibrahim kwa Uongozi wa Afrika, ambayo...

READ MORE

Liberia: George Weah Amwalika Wenger Sherehe Ya Kuapishwa Kwake

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger ameambia BBC kwamba amepokea mwaliko kutoka kwa rais mteule wa Liberia George Weah kuhudhuria sherehe...

READ MORE

Breaking: Mwanasoka George Weah Ashinda Urais wa Liberia

ALIYEWAHI kuwa mcheza soka bora duniani, George Opong Weah, ameshinda katika uchaguzi na kuwa Rais wa Liberia baada ya kushinda...

READ MORE