Magonjwa haya kwa kifupi huitwa ‘NCD’s’. Haya ni magonjwa sugu ambayo humuathiri mtu kwa kipindi kirefu na kadiri siku zinavyoendelea...