WAETHIOPIA WAFIKISHWA MAHAKAMANI KISUTU KWA UHAIAJI HARAMU
RAIA wa Ethiopia zaidi ya kumi leo wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakidaiwa kuwa wahamiaji haramu.
Awali watu hao walifikishwa mahakamani hapo na magari ya Idara ya Uhamiaji ambapo haikufahamika…
