Azam uso kwa uso na mabingwa wa Afrika leo usiku
Azam FC
Na Mwandishi Wetu
TIMU ya Azam FC, leo saa 1:00 usiku, inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Mabingwa wa Afrika, Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, mchezo utakaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar.…
