Watanzania Wang’ara Marekani, Wajishindia Mil 168 Ubunifu wa Miradi
WATANZANIA wawili wwenye Shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Biashara (MBA), wameshika nafasi ya kwanza na kutunukiwa Dola 75,000 (sawa na Sh. milioni 168 za Tanzania) kwenye shindano la ubunifu wa miradi mbali ya kibiashara…
