Matatizo yanayowafanya watoto waugue mara kwa mara-2
Wiki iliyopita nilianza kuzungumzia mada hii, leo nitaendelea kuanzia pale nilipoishia. Ikumbukwe kwamba, mtoto anaweza kupata Kifua Kikuu au ajali za utotoni kama kuungua, kuanguka au kumeza vitu kama sarafu n.k.
Baada ya miaka mitano,…
