Inasikitisha! Baba Amchinja Mwanaye wa Kambo
JESHI la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Ayoub John mwenye umri wa miaka 38, Mvuvi katika Kisiwa cha Chakazimbwe wilayani Muleba, kwa tuhuma za kumuua kwa kumchinja mtoto wake wa kambo mwenye umri wa miaka mitatu.
…
