Mdundo Music Yaongeza Watumiaji kwa Asilimia 22 Afrika
Nairobi, Februari 02, 2022: Huduma ya utiririshaji wa muziki wa Kiafrika, Mdundo, imetangaza ukuaji kwa asilimia 22 kwa watumiaji wake kwenye nusu ya mwisho ya 2021. Jukwaa hilo lilirekodi watumiaji milioni 20 mwishoni mwa Q4, ikipanda…
