×

Tag: Mkandarasi

Dr Mollel Aagiza Uchunguzi Ufanyike Juu ya Miradi ya Mkandarasi MUST

NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ameitaka Ofisi ya Katibu Mkuu wa Wizara yake kufanya tathmini ya kina ndani...

READ MORE

Mkandarasi Apewa Siku Saba Kabla Mkataba Kuvunjwa

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila ametoa siku saba kwa Kampuni ya Daska Company Ltd, kuhakikisha inakamilisha ujenzi wa...

READ MORE

Mkandarasi Yamkuta! Azuiwa Kutoka Nje ya Mkoa

MKANDARASI wa mradi wa maji wa Iyula uliopo Wilaya ya Mbozi amezuiwa kutoka nje ya Mkoa wa Songwe huku akiwekwa...

READ MORE

Mkandarasi Apigwa Miaka Saba Jela

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu mkandarasi wa majengo, Alfred Ndeka (60), kifungo cha miaka saba jela baada ya kukutwa...

READ MORE

Katavi: Aliyjenga Kituo cha Afya Avunja Madirisha ‘Sijalipwa’

MKANDARASI aliyefahamika kwa Borniface Exavery, aliyetengeneza madirisha ya Aluminium na kuyapachika katika Kituo cha Afya cha Katumba, amevunja madirisha hayo...

READ MORE

Mkandarasi wa usafirishaji umeme atakiwa kumaliza kazi ifikapo Aprili 2016

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (kushoto) akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Dodoma...

READ MORE