Mr Universe Atua Bongo, Ashusha Somo kwa Vijana
Mr Universe Tanzania mwaka 2002, Matukio Chuma, amewataka vijana wa Kitanzania kutumia fursa mbalimbali zinazojitokeza ndani na nje ya nchi kuliko kubaki wakilalamika.
Chuma ameyasema hayo, leo wakati akizungumza na wanahabari…
