Mume wa Bi Harusi Aliyefariki Baada ya Ndoa Azua Taharuki
DAR ES SALAM: Mume wa aliyekuwa Bi harusi aliyefariki saa chache baada ya kufunga ndoa, Zainabu Mkiwa, Yasini Juma, mkazi wa Mtoni Kijichi jijini hapa amezua taharuki kubwa kwa ndugu na jamaa baada ya kutoweka kwenye mazingira ya…
