Watu Nane Wakamatwa kwa Kutofunga Mwezi Mtukufu
WATU nane wamekamatwa na polisi wa Kiislamu katika jimbo la Kano kaskazini mwa Nigeria kwa madai ya kukataa kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Polisi wa Hisbah wanasimamia sheria za Kiislam huko Kano – moja ya…
