Mke wa Roma Aacha Gumzo Sakata la Mumewe
Na MWANDISHI WETU| GAZETI LA AMANI| HABARI
DAR ES SALAAM: Juu ya madai ya mumewe ambaye ni staa wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ kutekwa na kuteswa kisha kutelekezwa akiwa na wenzake watatu baada ya siku kadhaa, mke…
