Nani kasema mwanamke aliyezaa haolewi?
Karibuni wapenzi wanajamvi. Ni siku nyingine tumepewa na Mungu tuweze kupeana elimu katika safu yetu hii ya uhusiano. Ninaamini Mungu ametujalia neema hii ya kujifunza ili tuweze kuishi vyema kwenye uhusiano. Unajua Mungu hapendi mifarakano…
