Apigwa faini kwa kumkashifu mkongwe wa vita vya pili vya dunia
Mahakma nchini Urusi imetoa uamuzi wa kesi ya pili iliyokuwa ikimkabili kiongozi wa upinzani Alexei Navalny.
Navalny, alipatikana na hatia ya kumkashifu mkongwe mmoja aliyeshiriki kwenye vita vya pili vya dunia na hivyo…
