Matokeo Darasa la 7: Watahiniwa 10 Waliofanya Vizuri, Shule 10 Bora na Ambazo Hazikufanya Vizuri
Ufaulu kwa watahiniwa wa mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2016 umepanda kwa asilimia 2.52 kutoka asilimia 67.84 mwaka jana hadi asilimia 70.36, huku wavulana waking’ara katika matokeo hayo ambao wengi wametoka shule za Kanda ya Ziwa. …
